Dira na Dhamira
Dira na Dhamira
Uendeshaji wa Taasisi unaongozwa na Dira na Dhima ya Taasisi.
DIRA
Dira ya Taasisi ni ''kuwa kituo chenye ubora katika utoaji wa Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Afrika.''
DHIMA
Dhima ya Taasisi ni ''kutoa huduma bora za kisheria kwa wahitimu wa sheria, taasisi za Serikali na binafsi kwa kutoa mafunzo ya uanasheria kwa vitendo, elimu endelevu, utafiti na ushauri elekezi .''