Baadhi ya washiriki katika mhadhara wa kitaaluma kutoka kwa Wataalamu wa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Urusi tarehe 30 Aprili, 2024 katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (The Law School of Tanzania).
Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, Andrey Avetisyan akizungumza katika mhadhara wa kitaaluma kutoka kwa Wataalamu wa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Urusi tarehe 30 Aprili, 2024 katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (The Law School of Tanzania).
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya LST, Menejimenti na Wahitimu wa Kozi ya Astashahada ya Wasaidizi wa Kisheria katika mahafali yao.
Wahitimu wa Kozi ya Astashahada ya Wasaidizi wa Kisheria (Certificate in Paralegal Work) inayotolewa na LST wakiwa kwenye maandamano ya mahafali yao yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi tarehe 27 Machi, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza maandamano ya mahafali ya kwanza ya Wahitimu wa Kozi ya Astashahada ya Wasaidizi wa Kisheria (Certificate in Paralegal Work) inayotolewa na LST.
Wanafunzi wa Law School wakiwa kwenye mafunzo kwa vitendo
Baadhi ya wahitimu wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST) wakila kiapo cha Uwakili mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania.